Katika hii episode tutaangalia utofauti uliopo Kati ya biashara na mfanyabisahara. Kwamba biashara kisheria ni mtu kama mtu mwengine kwa maana anamiliki mali na madeni. Na mwenye biashara ni mlezi tu wa hiyo biashara.
-------- Â
5:00
--------
5:00
JINSI GANI UNAWEZA KUKUZA BIASHARA YAKO
Tunazungumza na wafanyabiashara kuanzia wadogo kabisa mpaka wakubwa, kwamba jinsi gani ya kuweza kuhakikisha unakuza biashara yako kwenye mifumo rasmi.